Jumanne, 8 Machi 2016

WELCOME NOTE!

Wapendwa.
Ninapenda kutumia fursa hii kuwakaribisheni ndugu zanguni wote katika blog hii mpya. Blog hii ni ya Hekima Chumi, inayoitwa Chuminames'. Itakuwa ikikuleteeni taarifa zote muhimu kwa kadri iwezekanavyo. Blog hii pia inaouhusiabo mkubwa sana na kampuni ya ujebzi ya Iyayi quick enterprisses ambayo ina ubobezi wa hali ya juu katika ujenzi wa barabara, ujenzi wa madaraja, pamoja na mifereji mikubwa na midogo ya maji. Ninaomba maoni yenu wapenzi wangu na wadau wote wa kampuni, this is Chuminame FOR MAJORITY INTEREST;

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni