KAMA KAWAIDA YAKE AFUNGUKA MAZITO
Mwenyekiti
mpya wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akitoa hotuba yake, baada ya
kutawazwa kushika nafasi hiyo kwa kupata kuta asilimia mia kwa mia
zilizopigwa na wajumbe wa mkutano mkuu maalum wa CCM uliofanyika leo
mjini Dodoma, Picha zote na Bashir Nkoromo) KUONA PICHA ZAIDI YA 100 ZA
MKUTANO MKUU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni