Ni mwendelezo wa somo la kupajenga palipobomoka, usisite kutoa maoni yako kupitia sehemu ya maoni hapo chini kwa masiliano zaidi piga simu 0712672894
Limeandaliwa na Mabula Charles Lukamaja, Makamu Mwenyekiti - TUCASA STUM
„Dear youth, I wish to speak decidedly to you, because I want you to be saved.‟--Messages to Young People, p. 140.
Ni hasara jinsi gani, kumtumikia Mungu na kuwa mwanaTUCASA halafu ukose uzima wa milele?
Yawezekana tunadhani kuwa na mahusiano sahihi na mwokozi wetu lakini kumbe ni kinyume.
Kisa cha kijana tajiri alipoambiwa “ …enenda, ukauze ulivyo navyo vyote, uwape maskini... kisha njoo unifuate.” Marko 10:21 kilidhihirisha kuwa hakuwa na mahusiano sahihi na Mungu aliyemwamini. Kijana tajiri alikuwa ametoa vyote kwa Mungu isipokuwa kwa habari ya mali.Yesu akamkazia macho, akampenda, akamwambia, Umepungukiwa na neno moja… Marko 10:21
Kama ilivyo kwa wanandoa na wachumba wengi wasiowaaminifu, ambao hukiri kuwa wazi na wakweli kwa wenzi wao, huku wakificha jambo au hali Fulani….ndivyo ilivyo kwa Mungu wetu tumwambiapo „I surrender all to you‟ wakati baadhi ya mali, fikara na matendo yetu hatujamkabidhi.
Mpenzi kijana; Utumiaji wa denser/ vimeo/ nondo/ chabo/ fantom/ migi/ kikumbushio/ nyoka/ mbwa/ nk…katika mitihani ni udhihirisho wa mahusiano ya chati na Mwokozi. Je, kuna faida gani ya kupata alama za juu ukakosa uzima wa milele? Kristo anahitaji tumtegemee, na ikiwa unatumia siku 6(sita) tulizopewa kwa uaminifu, ni hakika hutafeli mtihani wowote hata uwe mgumu kiasi gani; na kama si hivyo, kwa ujasiri sema, Ee mfalme (yaani shetani na mawakala wake), mimi sikubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia, sitaibia majibu wala kutumia mwili wangu kwa ajili hiyo.Daima muinue Mungu. Acquire moral stamina by saying, "I will not dishonor my Redeemer."--TSB 128. {PaM 59.1}
Mpenzi mwanaTUCASA; Kuchat na opposite sex hata usiku wa manane, kunakopelekea uharibifu wa afya, kuamka mchovu na kuamsha mihemko ya kimwili (hisia kali za kimahaba) kunaweza kukufanya umkose Yesu. Je, ungependa iwe hivyo? Yesu anakuja! Tafakari, chukua hatua. Heavenly angels examine the work that is put into our hands; and where there has been a departure from the principles of truth, "wanting" is written in the records. {CG 154.3}
Mazungumzo yaangamizayo roho na akili yatazuia kumpata Yesu. With many young ladies the boys are the theme of conversation; with the young men, it is the girls…They talk of those subjects upon which their minds mostly ruin. The recording angel is writing the words of these professed Christian boys and girls. How will they be confused and ashamed when they meet them again in the day of God!…. 2T 460 (1870). {1MCP 300.1}
Kudharau nyakati za ibada, semina na mikutano ya kanisa, ku-chat (kupiga soga) wakati wa ibada, kuchelewa katika ibada limekuwa jambo la kawaida kwa wanadamu waishikao Sabato.
KUPAJENGA PALIPOBOMOKA NA KUPASIMAMISHA UPYA 2014/2015
TUCASA | Southern Tanzania Union Mission 12
“There are children of Sabbathkeepers who have been taught from their youth to observe the Sabbath. Some of these are very good children, faithful to duty as far as temporal matters are concerned; but they feel no deep conviction of sin and no need of repentance from sin. Such are in a dangerous condition…” {CG 218.1}
Kupuuzia toba na kujifanya kana kwamba hukutenda dhambi, kudharau mashauri na kanuni za uvaaji na mavazi ni hali ya hatari kwa alitajaye jina la Mwokozi huku akidai kuwa msafiri wa mbinguni.
Mpendwa, kukataa kazi ya uvunaji wa roho, kukata tamaa katika maombi, kusoma na kutafakari neno kutawakosesha wengi kumpata Kristo. Matumizi mabaya ya muda kwa wavulana na wasichana sharti kukome… in view of the great work to be done, how can any one afford to waste precious time and God-given means in doing those things that are not for his best good or for the glory of God?--The Youth's Instructor, August 14, 1906. {MYP 286.2}
Shuhuda zisizomuinua Kristo, zenye vichekesho na kuongeza umaarufu wa mtu binafsi, utani, vichekesho, masomo na misemo isiyo na maana katika mimbari (pulpit) ni hatari kwa afya yako ya kiroho.Maelfu wangekuwa wameongolewa ikiwa mimbari zingetumika vyema. Thousands more might have been saved if men had preached the word, instead of the maxims, philosophies, and doctrines of men. If from every pulpit had sounded the faithful truth of God, men would have been left with a better knowledge of the Bible, with a deeper conviction of the truth of its principles, and the reality of its promises; and far more might have come to an understanding of what is truth…{RH, April 24, 1888 par. 16}. Simama imara usije ukamkosa Yesu.
Viongozi wapotezao wito wao na kuwaona wanaTUCASA watendao maovu ya wazi kuwa wadhambi wasiositahili kuwemo kundini ni uasi mkuu. Kristo anachukia dhambi ila anawapenda wadhambi. Ni mhimu kuomba kuwapenda wadhambi na kutumia njia alizotupatia Mungu kuwaongoza katika kweli na nuru yote.Every one who loves God in sincerity and truth, will love the souls for whom Christ has died. Pg 282, Chap. 36 - Suspension of Students, Ellen g white writings, 2008
Viongozi na wahudumu wawaongozao watu katika hekima yao wenyewe wanajiandaa kumkosa Yesu kwa kujipalilia uangamivu wao wenyewe. Those who profess to have light from the Lord, who win the confidence of men, and lead souls to ruin, will bring swift destruction upon themselves…They talk of grace, they preach of grace, apparently they pray for grace; but they have not the grace of Christ in their hearts. In the pulpit such ministers may appear to be excellent; but they destroy the force of their words when out of the pulpit by such a course of iniquity that they prove themselves to be ministers of sin, wolves in sheep's clothing. Mrs Ellen White {ST, July 18, 1892 par. 4}
Zingatia usije ukamkosa Yesu kwa ukosefu wa uaminifu. Mungu anahitaji kuhusiana na wanaTUCASA waaminifu chini ya bendara yake; ambao ndimu zao husema kweli, macho yao husema kweli na matendo yao husema kweli.Wenye ndimi ambazo kamwe hazibubujishi hata sembe moja ya uongo. Ooh, wengine watakuwa waaminifu when it costs nothing lakini sera/siasa ikilipa uaminifu huharibika naam mtu huhama NJIA KUU.
KUPAJENGA PALIPOBOMOKA NA KUPASIMAMISHA UPYA 2014/2015
TUCASA | Southern Tanzania Union Mission 13
Ni kweli kuwa, wale watakaoushikilia uaminifu kwa kiasi kikubwa …hawakubaliki na jamii ya wanadamu lakini kwa Mungu ni wazuri (beautiful) – mar 228.2.Hivyo lazima tufikie viwango vikuu vya ukristo. God wants men in His service, under His banner, to be strictly honest, unimpeachable in character, that their tongues shall not utter a semblance of untruth. The tongue must be true, the eyes must be true, the actions wholly and entirely such as God can commend. We are living in the sight of a holy God, who solemnly declares, "I know thy works." The divine eye is ever upon us. We cannot cover one act of unjust deal from God. The witness of God to our every action is a truth which but few realize. {CG 152.2}
Usomaji wa magazeti, tamthiliya na riwaya zenye hadithi na simulizi ambazo mara zote ni mawakilisho toka kwa wakala wa shetani ni hatari kwa afya yako ya kiroho. Utazamaji wa picha zisizofaa itakuwa kikwazo kumpata Yesu. Ni lazima mwanaTUCASA usome kilicho kweli na chenye thamani ya umilele. Dear youth, cease to read the magazines containing stories. Put away every novel . . . We would do well to clear our houses of all the story magazines and the publications containing ridiculous pictures --representations originated by satanic agencies. The youth cannot afford to poison their minds with such things. "What is the chaff to the wheat?" Let every one who claims to be a follower of Christ read only that which is true and of eternal value. {MYP 286.1}
Dear youth, in order not to lose JESUS, notice the above and that;-
We are nearing the close of time. We want not only to teach present truth in the pulpit, but to live it out of the pulpit. Examine closely the foundation of your hope of salvation.--"Testimonies for the Church," Vol. V, page 530. Let your clothing be plain, neat, comfortable, and of good material.--TM 180. {PaM 63.3}
Now is the time to work. If we are children of God, as long as we live in the world God will give us our work. We can never say we have nothing to do so long as there remains a work undone. {PH013 29.2}
Dear youth… "Present your bodies a living sacrifice, holy, acceptable unto God, which is your reasonable service." Stand forth in your God-given manhood and womanhood… The youth of today whose principles are firm and unwavering will be blessed with health of body, mind, and soul. --The Youth's Instructor, July 9, 1903.
Dear brethren, pray as you never before prayed for beams from the Sun of Righteousness to shine upon the word, that you may be able to understand its true meaning. {CSA 70.2}
Keep your wants, your joys, your sorrows, your cares, and your fears before God. You cannot burden Him; you cannot weary Him.--Steps to Christ, p. 100.
Take reproof as from God, take counsel and advice given in love.--Letter 30, 1875.
Be true to God, true to principle, and thus true to yourselfself and to all with whom they are connected . . . {CG 325.3}.
INAENDELEA.............................
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni